bora akili au akili bora ?

bora akili au akili bora ?

Ameir Eshaq

Member
Joined
Jan 3, 2011
Posts
35
Reaction score
1
25780_119889888025883_100000146185625_309138_4115543_n.jpg
 
Ni wapi hapo?, au ni pichaduka. Lakini sory naona mtandao inasumbua kwa hiyo ameamua kuufuata mawinguni.
 
Kudadadeki lazima huko kuna mgawo,ukanyage hayo mawaya peku..
 
Hapo anaonyesha matumizi mengine ya nguzo za umeme wakati wa mgao wa umeme. Hasa hapa bongo.
 
naamini jamaa atakua fundi wa kampuni ya simu au Kishoka
 
Back
Top Bottom