BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Leteni revolution mtatukuta wazalendo barabarani..Hakuna haja ya uchaguzi. They (CHADEMA na ACT) should organize a revolution. Now is the time. Kuna vuguvugu katika akili za watu. Magufuli is a devil. He hates democracy. Hakuna haja ya uchaguzi kabisa.
ccm wakibanwa mbavu wanaweza kuwarudisha wangombea wa upinzani baada ya kupiga kura utanimbia tume haitamtangaza wpinzani naona wapinzania wawe na hoja moja tu yakutokua na imani na tume mchakoto mzima ufutwe iundwe tume mpya watu wajiandikishe upya lasivyo nikupoteza mudaInabidi afanye kampeni na kuwaelewesha wafuasi wa CDM kwanza, kuhusu Tume. Baada ya wafuasi kuwaelewa ndio sasa mtaiambia tume tunataka wagombea wetu warudishwe. Hapo wafuasi watakuwa wameshawaelewa ata mkiwaambia tunaandamana kuelekea tume wataenda. Ngoja tumsikie leo ataongea nini juu wagombea waliokatwa
Upumbavu huu wa mtu akidhani watu bado wajinga hvyo atawaaminisha kuwa ni wajinga na anadhani watakbali ujinga wake ..hyu mtu atakua ni mjinga kwa kiwango cha juu sana!!kwamba wewe ni katibu wa CDM ulie mjinga siamini??wewe sio Katibu wa CDM!!Bro wangu Mimi ni Katibu wa Jimbo Chadema huku ninakokaa
Wakati wa kurudisha fomu, Mgombea urais mh Tundu Lisu alisema, Wagombea wasindikizwe kupeleka fomu zao
Sasa kilichofanyika huku, ni walisindikizwa madiwani wote waliokuwa wameomba kugombea Kwa upande wa Chadema, alichoniambia Bro kuwa, waliondoka vizuri wakiwa kundi la watu wengi kurudisha fomu wakiwepo na wagombea Wao wote
Lakini Hadi wanafika ofisi ndogo za tume W. Wagombea Udiwani wawili hawakuwaona, walikuja fika saa 10 jioni, sasa sijui walikwenda wapi, muulizeni Bro na kivipi waliwatoroka muulizeni Bro
Bro Anasema, hata hivyo swala Hilo walilipekeka Takukuru
Kwa hiyo, ni kweli wagombea wengi Chadema huenda njaa zimesumbua wakauza haki zao,
Akili ni nywele na kila mtu anazake, Wahenga hawakudanganyaUpumbavu huu wa mtu akidhani watu bado wajinga hvyo atawaaminisha kuwa ni wajinga na anadhani watakbali ujinga wake ..hyu mtu atakua ni mjinga kwa kiwango cha juu sana!!kwamba wewe ni katibu wa CDM ulie mjinga siamini??wewe sio Katibu wa CDM!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Hahahaha.View attachment 1550294
Baada ya kumsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara,kamanda Bensoni Kigaila, nimepoteza hata hamu ya kufuatilia uzinduzi wa kampeni kwani kwa idadi ya wagombea wa ubunge wa CHADEMA walioenguliwa mpaka sasa, naweza kusema inatisha huku msemaji mwenyewe akiweka wazi kuwa idadi ya wanaogombea udiwani ndio kubwa zaidi na angesema aiongelee, basi angetumia muda mrefu sana.
Mazingira haya kwangu mimi yananiondolea kabisa hata ile hamu ya kufuatilia huo uzinduzi kwani naona hawa mabwana kwa sasa ni kama wanatuchora tu.
Ushauri wangu ni bora kupambana kwanza juu ya hili kabla hamjaendelea na huo uzinduzi kwani hai-make sense kufanya uzinduzi huku wagombea ubunge zaidi ya 50(kwa maelezo ya Kigaila) kwa tiketi ya CHADEMA wakiwa katika hatihati ya kukosa nafasi ya kuwa wagombea huku idadi ya wagombea udiwani nchi nzima ikiwa ni kubwa zaidi.
Ni bora uongozi wa CHADEMA Taifa mkalipa uzito jambo hili vinginevyo mtavunja moyo wenzenu ambao wako katika hatihati ya kukosa haki yao ya kikatiba ya kuchagua na kuchaguliwa.
Napata wasiwasi kuwa huenda hata huo uzinduzi nao ukahujumiwa kama wagombea wetu walivyohujumiwa.
Hata hivyo, naungana na Bensoni Kigaila kwa aliyoyasema na kwakweli ametoa onyo kali kuhusu hujuma hizi na ninaona kuna giza nene huko mbeleni iwapo busara itakosekana hasa kwa wenye mamlaka.
Tuombe Mungu kwani "tone" ya Kigaila haikuwa ya mchezo na ni wazi wamedhamiria kudai/kutafuta haki kwa gharama yoyote.
Hii ndio CCM yenye mafanikio!Hahahaha.
Hukuanzi leo nategemea kuona post kumi tu . Maana CDM ya mwaka huu inakuangusha Sana.
Tatizo hamjui kitu kimoja..leo nikujuze.