At last leo umeusema ukweli kwa kweli, daah nakumbuka lile mbilinge nimechochea kuni mpaka muda umekata vibaya sana na wazungu hawataki kutoka nikaona chuma imechomolewa tuanze ku-bargain bei upya anasema haya niongezee hela tuweke condom pembeni wewe na condom huwezi kojoa leo hapa tunaweza tukakesha sio kwa kutomba huku kaka yangu... niishie hapoWale wadada mbingu wataikamata
Ila sisi wengine tunaojificha kwenye neno I love you ili tupate kitu,tutafika mbinguni kwa mbinde sana aiseeπ€
Gentleman,Mi nikiona mtu mwanaume mwenzangu ana lalamika kuwa wenye pesa wamemchukua au kadanganywa na mali.
Kicha cha habari kishajieleza hapo juu.
Wanawake wengi wamejificha kwenye bei ya kujiuza kama bidhaa zilizopo sokoni na madukani.
Bora wale wengine wanakwambia kabisa bei ili ushindwe wewe au uweze wewe.
Sasa hawa silence price ndio shida kwetu.Ukimuwezesha kiuchumi,kielimu,kicheo,kimazingira basi wewe sio bei yake.
Hii mada ninepata leo sehemu fulani.
Gentleman,
mbona huu ni kama uchochezi wa wa biashara za ngono?
unaelimisha au unawaamsha waliolala na wasio jua kitu kuhusu hii biashara, kwamba hii ni fursa ya kujipatia kipato?
najaribu kukuelewa but?
au umefungua jumba la biashara hiyo na sasa unatangaza na kuvutia wapangaji kiaina jukwaani?π
ngoja nirudie kusoma tena mara ya 10 labda nitaelewa gentleman πHuelewi nini hapo Gentleman
ngoja nirudie kusoma tena mara ya 10 labda nitaelewa gentleman π
SawaHance Mtanashati bei yake ni elekezi talaa (3k) per goal
ππππAt last leo umeusema ukweli kwa kweli, daah nakumbuka lile mbilinge nimechochea kuni mpaka muda umekata vibaya sana na wazungu hawataki kutoka nikaona chuma imechomolewa tuanze ku-bargain bei upya anasema haya niongezee hela tuweke condom pembeni wewe na condom huwezi kojoa leo hapa tunaweza tukakesha sio kwa kutomba huku kaka yangu... niishie hapo