CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Huyu jamaa alikuwa na roho mbaya. Just imagine, derby ilikufa kabisa. Kila Simba na Yanga zilipokutana, unajua kabisa kolo anaenda kuchezea. Kwa ufupi, aliwafanya ubaya ubwela kuwa kapu la kuvunia pointi.
Gamondi aliwageuza makolo kama chapati. Ninachokiona ni kwamba kocha wa Simba hatofika Krismasi. Watampa mkono wa kwa heri, kisha watamfuata master Gamondi kuchukua mikoba yake.
Gamondi aliwageuza makolo kama chapati. Ninachokiona ni kwamba kocha wa Simba hatofika Krismasi. Watampa mkono wa kwa heri, kisha watamfuata master Gamondi kuchukua mikoba yake.