Uchambuzi wangu
Bora hata Azam tunaweza kusema walikufa kiume....Kwani walipambana Kwa kupiga mashuti mengi ambayo yalilenga lango ....
Mashabiki wa al ahly tripoli walichukia kuona wanacheza na timu ambayo haijitumiKwa hyo kwenye mechi ya jana yote umeona shots on target tu.
Zile chupa alizopigwa simba na mashabiki wa Tripoli ambao hawajapigiwa shots on target hata moja haukuona?
Ingekuwa shots on target ndo mpira waarabu wasingechukia
Sasa kama simba haijitumi wao wwnateseka na nini?huko utopolo bila shaka?Mashabiki wa al ahly tripoli walichukia kuona wanacheza na timu ambayo haijitumi
5 - 0
Magoli yao mangapi yamekataliwa?Wanao
Awanaona kama wamehujumiwa.....they deserved to win at any cost
Hahahah 🤣 😂Mbona hujaandika na HabarI za kagoma leo? Au aibu ndo imekufanya uandike huu utumbo?
Makolo [emoji23]Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Miso Misonda SC.
22. Kufa Kiume SC. View attachment 3097589
Ndo vizuri mkuu[emoji23]Ila yule Joshua Mutale naye Simba wamepigwa tu kama walivyopigwa kwa Steven Mukwara!! Yaani anakimbia kimbia tu uwanjani huku akiwa hana madhara yoyote yale golini!
Striker wao mpya raia wa Cameroun, walau ana kitu.
Mmehamia kwenye issue za shot on target🤣🤣the real definition of hatersUchambuzi wangu
Bora hata Azam tunaweza kusema walikufa kiume....Kwani walipambana Kwa kupiga mashuti mengi ambayo yalilenga lango ....japo hawakuwa na bahati ....
Ila ndugu zangu makolo ......Wana kikosi heavyweight cha thamani ya 7b billion.....lakini hawapiga suti hata Moja la kulenga goli [emoji848][emoji23]
Sasa uwanjani waliingia kufanya Nini???View attachment 3097266