kuwa mvumilizu ..mchuma janga hula na wa kwao ,,hivi unafikiri kuwa watu wote duniani wamesoma kwa mikopo/? una div ngapi? tuwasiliane tuone jinsi ya kukusaidia kama kweli umefaulu
kaka pole sana na wala usikate tamaa!! mimi nw naingia mwaka wa pili na mwaka jana nilikosa mkopo ilihali nilipata division 1 ya 9 na form 4 nikapata div 1 form 4 na nilisoma shule za serikali!! na maisha yangu yanaendelea chuon kama kawaida, cha msingi we jipange usome!