Elections 2010 Bora Kumtukana Kikwete Kuliko Kuwatukana Watanzania

Elections 2010 Bora Kumtukana Kikwete Kuliko Kuwatukana Watanzania

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
10,827
Reaction score
4,176
Nimesoma post moja humu jamvini kwamba, akiwa viwanja vya Mwembeyanga, Kikwete aliwatukana Watanzania waliohudhuria mkutano wa Dr. Slaa kwa kuwaita "majuha".

Juha maana yake ni mtu asiyejua kitu. Kwa hiyo Watanzania hatujui kitu. Haya si matusi jamani?

JK subiri October 31. Utajua kama Watanzania ni majuha au wewe na familia yako ndiyo majuha.
 
duuuuuuu mwacheni raisi jamani!!!
 
Hapo ni pamoja na wanausalama wake anaowatuma kunusanusa mikutanoni,
Ni pamoja na mapolisi wake, na wapambe zake wengineo!:nono:
 
hahahahaha,kama methali ni matusi kwanini tunafundishwa mashuleni?
"asiye funzwa na mamaye,hufunzwa na ulimwengu" eti ni tusi?au kwa kua imetumika kwa kikwete?
 
Back
Top Bottom