Bora kuoa wake wa 3 au 4 kuliko kuzini, Haji Manara yuko sahihi

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
10,198
Reaction score
35,323
"Watu wanasema Haji anaoa kila siku, ni kheri mimi mwenye wake wengi kuliko vijana wengi wenye michepuko 5 au 6 hadi wanawapangia majumba. Mimi nimechagua kutozini, naoa" - Haji Manara

Uzinzi ni gharama vijana wengi wange jua wange acha michepuko. Huwezi kutoboa maisha ukiwa mzinzi na kumbuka "heaven of man is ùnder a woman" raha ya mwanaume ni mwana mke, pombe sigara mpira bangi ni mbwembwe tu za kupunguza stress ila hazifikie raha ya mke halali....

Screenshot_20220927-155625_Facebook.jpg
 
Kuna watu wana wake wanne na michepuko juu.

Kama ni mtu wa wanawake, hao wanne hawatoshi kukidhi tamaa zako zote.
 
Hivi Kuna mtu anaweza penda wake watatu kwa wakati mmoja na kwa usawa.
Njaa za kuolewa zinawagharimu Sana dada zetu.
 
"Watu wanasema Haji anaoa kila siku, ni kheri mimi mwenye wake wengi kuliko vijana wengi wenye michepuko 5 au 6 hadi wanawapangia majumba. Mimi nimechagua kutozini, naoa" - Haji Manara
These defences are unconvincing!
Uzinzi ni gharama vijana wengi wange jua wange acha michepuko. huwezi kutoboa maisha ukiwa mzinzi, na kumbuka "heaven of man is ùnder a woman" raha ya mwanaume ni mwana mke, pombe sigara mpira bangi ni mbwembwe tu za kupunguza stress ila hazifikie raha ya mke halali....

View attachment 2369727
 
Hapo amemsitiri dada wa watu, kweli kabisa . Zinaa ni dhambi
 
Tata Msholozi Jacob Zuma kwani alikuwa na wake wangapi?
Mbona alikuwa akichepuka?
Wajua utamaduni wa wa Zulu? Nitafauti na wa kwetu kua na wanawake zaudi ya 10 sio sabb ya kutoa wengine
 
Nani afungie stress zote tatu hizo ndani ya nyumba? Hao watu wanapendeza kupiga nao picha tu, lakini kwenye real life! Utajijua mwenyewe.
 
Acha uoga plz kama aljari lazma ukomae kabisa
 
Back
Top Bottom