Kwani kinachofanya matajiri kufilisika nini kama sio wanawake, kilichomuua Sani Abacha nini? Kwani alikuwa masikini pia?Ngono ndio starehe ya maskini
Masikini wa fikra tajiri wa helaKwani kinacho fanya matajiri kufirisika nini kama sio wanawake, kicho muua Sani abacha nini? Kwani alikua masikini pia?
Kwani matajiri hawaoi?Ngono ndio starehe ya maskini
Ndoa ni zaidi ya ngonoKwani matajiri hawaoi?
These defences are unconvincing!"Watu wanasema Haji anaoa kila siku, ni kheri mimi mwenye wake wengi kuliko vijana wengi wenye michepuko 5 au 6 hadi wanawapangia majumba. Mimi nimechagua kutozini, naoa" - Haji Manara
Uzinzi ni gharama vijana wengi wange jua wange acha michepuko. huwezi kutoboa maisha ukiwa mzinzi, na kumbuka "heaven of man is ùnder a woman" raha ya mwanaume ni mwana mke, pombe sigara mpira bangi ni mbwembwe tu za kupunguza stress ila hazifikie raha ya mke halali....
View attachment 2369727
Leta za kwako zinazo convince kuhalalisha uzinziThese defences are unconvincing!
"Watu wanasema Haji anaoa kila siku, ni kheri mimi mwenye wake wengi kuliko vijana wengi wenye michepuko 5 au 6 hadi wanawapangia majumba. Mimi nimechagua kutozini, naoa" - Haji Manara
Uzinzi ni gharama vijana wengi wange jua wange acha michepuko. huwezi kutoboa maisha ukiwa mzinzi, na kumbuka "heaven of man is ùnder a woman" raha ya mwanaume ni mwana mke, pombe sigara mpira bangi ni mbwembwe tu za kupunguza stress ila hazifikie raha ya mke halali....
View attachment 2369727
Tata Msholozi Jacob Zuma kwani alikuwa na wake wangapi?Leta za kwako zinazo convince kuhalalisha uzinzi
Wajua utamaduni wa wa Zulu? Nitafauti na wa kwetu kua na wanawake zaudi ya 10 sio sabb ya kutoa wengineTata Msholozi Jacob Zuma kwani alikuwa na wake wangapi?
Mbona alikuwa akichepuka?
Acha uoga plz kama aljari lazma ukomae kabisaNani afungie stress zote tatu hizo ndani ya nyumba? Hao watu wanapendeza kupiga nao picha tu, lakini kwenye real life! Utajijua mwenyewe.
Acha uoga plz kama aljari lazma ukomae kabisa