Kunywa Maji popote,nitalipa bili ya mwezi nikiwepo sehemu hiyoShukru kwa elimu uliyonayo maana kunawanaotamani wawenayo ila walikosa fursa ya kupata hiyo elimu, Elimu uliyonayo inakusaidia katika maisha halisi ya mtaani uingie wapi utokee wapi kwenye nyanja mbalimbali hususan maofini/ kitaan/ jamii inayokuzunguka/ Familia/ inakujengea confidence ya kujiamini na kujieleza kwa ufasa bila kusua sua.
hao wanaoitamani ni kwamba hawajui uhalisia wake, na wakiipata hawataitamani tena, na mbona kuna namna nyingi za kupata hii elimu kama mambo yako umeshayaset...Shukru kwa elimu uliyonayo maana kunawanaotamani wawenayo ila walikosa fursa ya kupata hiyo elimu, Elimu uliyonayo inakusaidia katika maisha halisi ya mtaani uingie wapi utokee wapi kwenye nyanja mbalimbali hususan maofini/ kitaan/ jamii inayokuzunguka/ Familia/ inakujengea confidence ya kujiamini na kujieleza kwa ufasa bila kusua sua.
wadau wa miaka gani hiyo?Pole sana..ila tambua kuna watu wanajuta kwanini hawakusoma...wanatamani warudi shule..ujinga ni kushindwa kuona fursa kupitia elimu uliyoipata...kuna wadau wanaliwa pesa ndefu sana kupitia elimu zao.
#MaendeleoHayanaChama