BIN BOR JF-Expert Member Joined Nov 23, 2010 Posts 1,013 Reaction score 407 Jan 9, 2011 #1 Bora huyu mara mia, alitutoa mbali sana......... kuliko huyu aliyeonesha kubahatisha 'challenge'
Kilakshari JF-Expert Member Joined Dec 13, 2008 Posts 350 Reaction score 20 Jan 9, 2011 #2 Wabo0ngo bana...acha tu!
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,794 Reaction score 9,075 Jan 9, 2011 #3 Hapa hata ingeletwa ManU ifanywe team ya taifa uozo utakuwa uleule!!kocha hata akiletwa fcapello ujinga utakuwa uleule!Tff ndiyo tatizo.
Hapa hata ingeletwa ManU ifanywe team ya taifa uozo utakuwa uleule!!kocha hata akiletwa fcapello ujinga utakuwa uleule!Tff ndiyo tatizo.
TATIANA JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 4,690 Reaction score 2,433 Jan 10, 2011 #4 kakakiiza said: hapa hata ingeletwa manu ifanywe team ya taifa uozo utakuwa uleule!!kocha hata akiletwa fcapello ujinga utakuwa uleule!tff ndiyo tatizo. Click to expand... sasa nn kifanyike kakakiiza ili tuondokane na tatizo hilo?
kakakiiza said: hapa hata ingeletwa manu ifanywe team ya taifa uozo utakuwa uleule!!kocha hata akiletwa fcapello ujinga utakuwa uleule!tff ndiyo tatizo. Click to expand... sasa nn kifanyike kakakiiza ili tuondokane na tatizo hilo?
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 40,905 Reaction score 86,203 Jan 10, 2011 #5 kuwekeza kwa timu za watoto,lakini pia najiuliza hv vile vipaji vya copa coca cola waliochukua ubingwa kule braazil wako wapi...tff ttz hakuna mtu wa ufundi Kayuni yuko but hajui lolote la kuendeleza soka..nawasilisha..yangu mawazo
kuwekeza kwa timu za watoto,lakini pia najiuliza hv vile vipaji vya copa coca cola waliochukua ubingwa kule braazil wako wapi...tff ttz hakuna mtu wa ufundi Kayuni yuko but hajui lolote la kuendeleza soka..nawasilisha..yangu mawazo