Bora mke akuone taahira kuliko akuone mwerevu, utaangamia wewe na kizazii chako

Bora mke akuone taahira kuliko akuone mwerevu, utaangamia wewe na kizazii chako

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Ayubu alishauriwa na mkewe amkufuru Mungu Ayubu akakataa. Ayubu akajazwa mali mara dufu.
Lutu alishauriwa na mkewe ageuke nyuma aangalie Sodoma na Gomora, Lutu akakataa mkewe akageuzwa kuwa jiwe la chumvi.
Samson amlimsikiliza mkewe Delila, akachukuliwa mateka, kutobolewa macho na kuteswa sana.
Adam alimsikiliza Hawa, akatenda dhambi na kufukuzwa Edem.
Jamani tusiwasikilize na kutii amri za wanawake tutaangamia.

ayubu alishauriwa na mkewe amkufuru mungu ayubu akakataa. Ayubu akajazwa mali mara dufu.
Lutu alishauriwa na mkewe ageuke nyuma aangalie sodoma na gomora, lutu akakataa mkewe akageuzwa kuwa jiwe la chumvi.
Samson amlimsikiliza mkewe delila, akachukuliwa mateka, kutobolewa macho na kuteswa sana.
Adam alimsikiliza hawa, akatenda dhambi na kufukuzwa edem.
Jamani tusiwasikilize na kutii amri za wanawake tutaangamia.

mwanaume ni kichwa familia na mfumo dume ni muhimu hasa kwa hichi kizazi

ukweli kwa mara ya kwanza ndo nasikia bujibuji ukiandika point.
C
o
n
gratulation!

Ayubu alishauriwa na mkewe amkufuru Mungu Ayubu akakataa. Ayubu akajazwa mali mara dufu.
Lutu alishauriwa na mkewe ageuke nyuma aangalie Sodoma na Gomora, Lutu akakataa mkewe akageuzwa kuwa jiwe la chumvi.
Samson amlimsikiliza mkewe Delila, akachukuliwa mateka, kutobolewa macho na kuteswa sana.
Adam alimsikiliza Hawa, akatenda dhambi na kufukuzwa Edem.
Jamani tusiwasikilize na kutii amri za wanawake tutaangamia.

Mkuu imesomeka hiyo! Subiri wenyewe waje uone wanavokurarua, utafikiri yametoka kwako, kumbe umekopi tu!

umeeleweka na kuna kaukweli kakubwa

Kusikiliza wasikilize!ila usiwape maamuzi ya kuamua na kuamrisha!tutakwisha!woman is just a woman

Kuanzia leo hii ntaifanya slogani yangu,eti mfumo dume!

Ayubu alishauriwa na mkewe amkufuru Mungu Ayubu akakataa. Ayubu akajazwa mali mara dufu.
Lutu alishauriwa na mkewe ageuke nyuma aangalie Sodoma na Gomora, Lutu akakataa mkewe akageuzwa kuwa jiwe la chumvi.
Samson amlimsikiliza mkewe Delila, akachukuliwa mateka, kutobolewa macho na kuteswa sana.
Adam alimsikiliza Hawa, akatenda dhambi na kufukuzwa Edem.
Jamani tusiwasikilize na kutii amri za wanawake tutaangamia.
Nashindilia zaidi.
Hapo mwanzo baada ya Mungu kumuumba adam, akampatia taratibu za kuishi katika bustani ya Edeni. Lakini akaona ni vema ampatie msaidizi. Akampatia HAWA. Kitambo tu, hawa akamdanganya mumewe Adam ili wale tunda la mti wa katikati, ambalo Mungu aliwakataza. Mungu akawalaani kama ifuatavyo
ADAM: Ardhi imelaaniwa, utakula kwa jasho na miiba itakuchoma
HAWA: Utazaa kwa uchungu, tamaa yako itakuwa juu ya mme wako naye ATAKUTAWALA.

Hapo kwenye nyekundu, wataalamu wa biblia wanasema, mwenyezi Mungu aliamuru mwanamke atawaliwe na mwanaume baada ya kuona kuwa HAWEZI kujitawala kwa ufanisi kwa sababu ameharibu kwenye tunda la mti wa katikati

Kwangu mimi mfumo dume mwanzo mwisho, ila simdharau wala kumwonea mwanamke.

Inaelekea hata wao wenyewe wameikubali hii, sioni anayepinga!!!

Hapo mnadanganyana... akili za kushikiwa/kuambiwa lazima uchanganye na za kwako ndio uamue ufanyeje. Mke akiwa binadamu lazima from time to time anakosea lakini kusema "Jamani tusiwasikilize na kutii amri za wanawake tutaangamia" naona ni kukosa ufahamu. Msikilize mkeo na kama ukiona sio point base mwambie au achana na hiyo amri/ushauri. Kama ukiopna ni point, songa mbele kwa manufaa ya familia.

Binafsi naamini niliwekwa duniani kwa malengo maalum, none of which ni kutawaliwa na anyone!

Sure thing,hatupaswi kutokuwasikiliza wake zetu,we shud listen to them lakini hatuna budi kuwa macho.

Hao walikua wanawake wa zamani sana waliokua wakinyimwa access ya vitu vingi lakini kwa mfumo wa sasa ni asilimia kubwa ya wanawake ambao wanatoa ushauri mzuri wa kimaendeleo na sio wa kula bata thatz y vijana wadogo wameamua kuoa mapema ili watoke.

sasa heading ya bora kuwa taahira na maamuzi ya adam,luti na ayubu iko vipi?

Ni kweli mkuu , nakubaliana nawe kwa haya maana huwa nasomabible na uliyoyaandika ni ya kweli

Ayubu alishauriwa na mkewe amkufuru Mungu Ayubu akakataa. Ayubu akajazwa mali mara dufu.

Lutu alishauriwa na mkewe ageuke nyuma aangalie Sodoma na Gomora, Lutu akakataa mkewe akageuzwa kuwa jiwe la chumvi.

Samson amlimsikiliza mkewe Delila, akachukuliwa mateka, kutobolewa macho na kuteswa sana.

Adam alimsikiliza Hawa, akatenda dhambi na kufukuzwa Edem.

Jamani tusiwasikilize na kutii amri za wanawake tutaangamia.

Hizi nukuu za Biblia zimenipa raha ya ajabu. Pia mke wa Herode alitoa ushauri mbaya Yohana mbatizaji a.k.a nabii Yahya alleh salaam akakatwa kichwa, mke wa nabii Ibrahim alimshinikiza azini na housegirl,mke wa Isaka au nabii Isihaka alimzunguka mzaliwa wa I Esau na kumpasia Yakobo au Izraeli uzaliwa wa kwanza na baraka zote.

Back
Top Bottom