"Bora msagaji kuliko mume wangu"

Cha kushangaza mbona Wanawake wengi wanalalamika hakuna wanaume wa kuwaoa?!
Kichwa kinauma kabisa...
 
Enzi za nabii Lutu zinarudi... sasa ni majike kwa majike na sio wanaume kwa wanaume.... Sodoma na Gomorah. Hakika sijui adhabu yake itakuwa nini... Mwenyezi mungu alinena enendeni mkajaze ulimwengu lkn badala ya kufanya hivyo inakuwa kinyume na maagizo yaliyotolewa na mwenyezi mungu....inasikitisha
 
Hahaha
 
 
Shetani kazini

Most likely mashine imeshechenyentwa hadi haifai kabisa
 
Tatizo ni wanaume kupungukiwa nguvu za kiume au ni wanawake kuzidiwa na nguvu za kike?!!! Nadhani tatizo liko pande zote mbili. Wanawake wa siku hizi wanaume inabidi kujipanga haswaaa maana ashiki zimewazidi hawa wanawake.
Nguvu zipo tu

But you can’t offer your best to a person that self centered and mean
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…