stickvibration
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 3,226
- 5,147
Mimi ntaandama barabarani kwasababu ni haki yangu yakikatiba.Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321]
Mimi ntaandama barabarani kwasababu ni haki yangu yakikatiba.
Nayo pia ni maandamano... Hata mtoto huanza kama mimbaHii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321]
uchochezi ndo nini.mkuuWeweee usilete uchochezi[emoji1321]
Sasa unafikiri watatoa kauli za kuunga mkono maandamano??Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321]
Mimi ntaandama barabarani kwasababu ni haki yangu yakikatiba.
kamwulize kale ka zee causcesco.....kule romania.....tutambue siku hiyo huja ghafla !!!!!!!!Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321]