Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

Kweli tupu..
 
kufungwa kwa simba jana ni kutokana na ubora wa ligi ya south na hapa kwetu kuwa tofauti.... wenzetu wana ligi bora na wanaelewa maaan ya ushindani. wapo serious na kutafuta ushindi na si kucheza mashabiki. Simba wanatakiwa kujifunza kucheza mpira wa ushindani na long pass.... jana beki ya Simba ilizidiwa kwa kila hali. Unyago kacheza hovyo jana sijui alipitia buguruni kwanza ama alinzia chumba cha massage, kapombe hovyo jana anapoteza mipira kizembe sana,, wawa alijitahidi sana.

Mechi ijayo tubadili aina ya mchezo tuache sifa za kupiga pass tushambulie zaidi. Kapombe akae benchi.

ila wale jamaa wapo vizuri sana washambulizi wao wanajua jinsi ya kutafuta goli.
 
Ule uwanja uliwachanganya Simba ,uwanja uliochezwa kombo la dunia si wa mchezo mchezo.Ile mechi iliisha kabla haijaanza.Mohamed Hussein nilimuona akitetemeka hata akashindwa kuchagua upande na waamuzi wakammind.Ni bahati hakukuwa na spectators vinginevyo Ng' ombe ingesusa nyasi.
 
Popoma aliyetukuka karudi Tena kwa id nyingine.
 
Umeanza vizuri ila kuna sehem imeharibu. Simba ilivokua inafanya vizuri mbona humuwaizia hao wachezaji wengine waliosajiliwa? Au una force uchambuz
Pumbavu acha kunipotezea Muda sawa?
 
Imefikaje tamati si watakuja kwa Mkapa hao[emoji28] yani tuwafunge warabu tuwashindwe Wazulu Natal???
[emoji23] mzee kumbuka mwarabu kwake tulidroo nae, ila mzulu kwao katutandika nne bila. Ili tushinde yatupasa goli tano ziingie kammbani kwa mzulu huku tukiombea asipate ata goli moja
 
Kuna Mpuuzi Mmoja anatuaminisha kuwa Simba SC hii hii itacheza CAF CL Final na bado kuna Wapumbavu kadhaa ( Krav Maga simo ) walimuamini na bado wanamuamini tu.
 
Yote haya yametokea baada ya KAIZER CHIEF kumfunga SIMBA .ingetokea Simba kapata matokeo ugenini naimani haya yote yasingetokea basi lawama za Mimi
 
[emoji23] mzee kumbuka mwarabu kwake tulidroo nae, ila mzulu kwao katutandika nne bila. Ili tushinde yatupasa goli tano ziingie kammbani kwa mzulu huku tukiombea asipate ata goli moja
Tusidanganyane Simba SC tumeshatoka.
 
Ilikuwa tucheze jumamos kabla ya kwenda south jumanne. Match ikaingiwa na mdudu haikuchezwa. Naweza nisilaumu sana kwa hilo.
 
Yote haya yametokea baada ya KAIZER CHIEF kumfunga SIMBA .ingetokea Simba kapata matokeo ugenini naimani haya yote yasingetokea basi lawama za Mimi
Na Intellectual yoyote hawezi kufanya thorough SWOLT Analysis ya Tukio ( Jambo ) kama hakuna Changamoto.

Nimeshangaa sana Wewe JF Great Thinker aina hii tu ya Logical Principle imekushinda kuijua ( kuielewa ) hapa.

Huko Universities mmefuata nini labda?
 
Ilikuwa tucheze jumamos kabla ya kwenda south jumanne. Match ikaingiwa na mdudu haikuchezwa. Naweza nisilaumu sana kwa hilo.
TFF wanatudekeza sana Simba SC na Sisi Simba SC tunaona wanatupenda na kutusaidia wakati kumbe ndiyo wanatuharibu kabisa na matokeo yake tunachezea Goli za uhakika kama za Mzulu na Mkaburu ( Kaizer Chiefs FC ) za jana.
 
Acha Kutetea Upuuzi jana Kapombe ( tena bora hata kidogo Tshabalala ) amecheza vibaya sana na ndiyo Katugharimu kwani Goli zote 3 zimetokea Kwake kwa Udhaifu wake wa kutokuruka Juu Kucheza mipira na Washambuliaji.

Mimi ni Simba SC Mwenzako ila katika Matokeo ya jana sitaki kuwa Mnafiki tumefungwa Kihalali kwa Makosa yetu ya Kipumbavu na yanayojirudia mara kwa mara.
 
Hizi unazoongea ni ndoto za mchana, na kujifariji bt kiukweli safari ya simba kwa hya mashindano kwa mwaka huu ndio imefikia tamati jana. Tujipange kwa msimu ujao labda.
Wapumbavu wengi watakukatalia hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…