Bora nichukiwe na Wana Simba SC ila ukweli huu Mchungu uliochangia Kipigo Kitakatifu cha Mzulu na Mkaburu Kaizer Chiefs FC niuseme

You're very Foolish.
 
Mi Nadhani laana ilianzia kwa Manara kuwaita watu takataka, ile ni laana au kufuru kubwa

Unakuwa na mswahili kama Manara katika timu halafu unasema soka unaliendesha kiprofesheno
 

Mpira biriani,Manara anasema wanacheza kama Barcelona,thubutu? Labda Barcelona ya ushetu
 
Teh, baada ya kipigo sasa ndo mmekubali kuwa mnabebwa na mnadekezwa na tff
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…