Bora niishi single kama Panya MAGAWA

Bora niishi single kama Panya MAGAWA

green rajab

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
12,387
Reaction score
39,119
Kila mitego ninayoitega ninase japo bint wa kunifariji na hili life la bongo naishia kuambulia maumivu bora hata Afande Panya Magawa aliamua kuishi kama padri tu mpaka pale Mungu alipomchukua kaepuka kero nyingi ambazo mi napitia...

1642486516955.png

 
Kila mitego nnayoitega ninase japo bint wa kunifariji na hili life la bongo naishia kuambulia maumivu bora hata Afande Panya Magawa aliamua kuishi kama padri tu mpaka pale Mungu alipomchukua kaepuka kero nyingi ambazo mi napitia...
View attachment 2082735
Hata siku moja usitegemee mtu mwingine kama mpenzi nk.. kwamba atakupa furaha. Lazima uwe na maisha ambayo una furaha tu hata pasipo kumtegemea mtu. Binafsi $$$ imenipa furaha sana na uwezo wa kufanya mambo mengi pasipo kutegemea mtu mmoja kama mpenzi kunipa furaha. Therefore kwa kifupi, pambania maisha zaidi mkuu.. mambo ya mapenzi sio dunia ya leo
 
Chagua kujipenda na kutimiza malengo yako huu mwaka,hata wewe ukifanikiwa mapenzi utayakanyaga,utaona mapenzi ni mchezo tu nothing serious ni sawa na kukunywa maji
 
Back
Top Bottom