Bora niishi single kama Panya MAGAWA

Hata siku moja usitegemee mtu mwingine kama mpenzi nk.. kwamba atakupa furaha. Lazima uwe na maisha ambayo una furaha tu hata pasipo kumtegemea mtu. Binafsi $$$ imenipa furaha sana na uwezo wa kufanya mambo mengi pasipo kutegemea mtu mmoja kama mpenzi kunipa furaha. Therefore kwa kifupi, pambania maisha zaidi mkuu.. mambo ya mapenzi sio dunia ya leo
 
Chagua kujipenda na kutimiza malengo yako huu mwaka,hata wewe ukifanikiwa mapenzi utayakanyaga,utaona mapenzi ni mchezo tu nothing serious ni sawa na kukunywa maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…