Bora nini kati ya Mapenzi au Mahusiano?

Bora nini kati ya Mapenzi au Mahusiano?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam JF !

Mie nachagua Mapenzi

Nawasalimu kwa bashasha na nderemo nyingi kuelekea siku ya wenye kubarikiwa urithi wenye turufu au maarufu mbususu a.k.a the valley of joy and happiness.

sambamba na salamu hizo kauli mbiu yetu sisi mabaharia ipo pale pale.

Niwaulize swali la kifalsafa laini na jepesi na lenye uhitaji wa fikra na tafakuri pevu.

Je kati ya Mapenzi na Mahusiano unachagua nini?

Mtajua hamjui wakati wa hitimisho.

Naitwa Wadiz.

Ijumaa karimu....🏃🏃🏃
 
Mpenzi na mapenzi kwenye mahusiano
JamiiForums-1962330671.jpg


Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom