Bora nipigwe mawe lakini sitarudia tena kufanya mapenzi na wanawake wavaa mawigi

Bora nipigwe mawe lakini sitarudia tena kufanya mapenzi na wanawake wavaa mawigi

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo

Kuna vitu vingine wadada hufanya wakizan ni sifa kumbe ni ujinga wa hali ya juu sana. Wanawake wavaa mawigi wanawaabisha sana wanawake wenzao

KWANZA MAWIGI YAO YANANUKA SANA


PILI HAWAJUI MAPENZI

Hivi mwanamke anayevua nywele anaaziacha kitandani ndo anaenda kuoga unazani ana akili kweli huyo?

Sasa bana siku moja kaja msichana mmoja gheto kavaa wigi nikapita mamboz fresh sasa nikatoka kidogo nikamuletee supu apige kwa ajili ya kupunguza njaa na uchovu, sasa wakati ule narudi nakuta mtu kichwani ni KIPARANGOTO aisee nikashituka kidogo nikazani jini hili Yesu wangu niokoe, nywele kapeleka wapi huyu dada kupiga jicho kitandani nikakutana na ni lile wigi ndo nikatulia kidogo hapo akanambia nataka kwenda kuoga ndo ninywe chai, aisee nilishangaa sana kwahiyo ukitaka kwenda kuoga unaacha nywele kitandani ndo unaenda kuoga.

Hawa watu mapenzi hawajui ukimwambia KALIA MSUMURI WA MOTO yaani hawakaliagi vizuri wanakaa lakini kidogo tu jamani unaniumiza sijui mimi siwezi staili hii baby badilisha nyingine.

Yaani wao staili wanayoweza ni ile ya kususia ya mbuzi kagoma kwenda ukitaka hiyo mbona utachoka mwenyewe mkuu.

Ni hayo tu

Lakini mimi hata kama nikipopolewa mawe sitarudia tena kufanya mapenzi na watu hawa.

LONDON BABY
 
Kwa wale mnaopendaga tu picha

Namanisha kama huyu hapa mwenye wigi
IMG-20171004-WA0003.jpeg
 
Nilishaingiaga na demu guest, ile kuva wigi nilipiga chafya 11 bila kupumzika mpk alipolifunika mwenyewe.
Lile wigi lilikua linatema, kanakwamba likiwekwa kushoto alaf kulia kukawa na chemba ya choo, utageuzia pua kweny chemba
 
Back
Top Bottom