Bora Ronaldo hakuenda man city

Bora Ronaldo hakuenda man city

MO11

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2014
Posts
19,057
Reaction score
39,387
Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen

Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno

Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu
timu hovyo kocha hovyo
kila mechi wanaruhusu mabao

wapo wazi nyuma wanaruhusu tu

Angeenda Man city timu za hovyo kama wale wa jana wangekula lungu nne bila majibu

Japo mimi nakiri ni hater wa ronaldo ila angeenda man cty ningenyooka sana
 
Nilitamani Messi ndo aende man city labda ningejaribu jaribu kuona makali yake nje ya barca ila daah akakimbilia PSG kule wamejaa mastaa waliotosheka mafanikio wana hadi makombe ya dunia,etc. Kaishia kupata majeraha na sub zisizompendeza

Angeeenda city angewaongezea kasi ya kulidaka kombe la UCL
 
umenena vyema sana kwa jinsi Man city wanavyocheza messi angefit vizur sana ,,,!’
 
Nilitamani Messi ndo aende man city labda ningejaribu jaribu kuona makali yake nje ya barca ila daah akakimbilia PSG kule wamejaa mastaa waliotosheka mafanikio wana hadi makombe ya dunia,etc. Kaishia kupata majeraha na sub zisizompendeza

Angeeenda city angewaongezea kasi ya kulidaka kombe la UCL
huwezi amini walioweka financial fair play ni wafaransa na ndo walioivunja ili messi aende psg
ila man city na messi tungeumia sisi wa club zetu za hovyo
 
Back
Top Bottom