Nilitamani Messi ndo aende man city labda ningejaribu jaribu kuona makali yake nje ya barca ila daah akakimbilia PSG kule wamejaa mastaa waliotosheka mafanikio wana hadi makombe ya dunia,etc. Kaishia kupata majeraha na sub zisizompendeza
Angeeenda city angewaongezea kasi ya kulidaka kombe la UCL
huwezi amini walioweka financial fair play ni wafaransa na ndo walioivunja ili messi aende psgNilitamani Messi ndo aende man city labda ningejaribu jaribu kuona makali yake nje ya barca ila daah akakimbilia PSG kule wamejaa mastaa waliotosheka mafanikio wana hadi makombe ya dunia,etc. Kaishia kupata majeraha na sub zisizompendeza
Angeeenda city angewaongezea kasi ya kulidaka kombe la UCL