Na nyie wasililamu mnatumia hornspeaker kutuhubiria sisi tulio nje ya msikiti Ili nini.Hasa Wakristo Utawakuta mpaka Stand za Daladala. Hivi Dini zingeamua kufanya hivyo ingekuwaje?
Hahahahaa hasa wanapoanza vitisho! Unajiona jehanam hii hapa kabisa! Hahahaha π€£Unapokua unatafuta utulivu ubaki wewe na akili yako au upunzike ulale, unaweza fanya hivyo kwenye mziki kuliko kwenye mahubiri ya dini.
Sababu ni kua, mziki ni flow ambayo unaweza kui ignore lkn haya mahubiri yana interfere sana na mawazo yako.
Kama hujakutana nayo huwezi kuelewa
Hujakaa karibu na misikiti ya bakwata wewe, Asubuhi ni keroHasa Wakristo Utawakuta mpaka Stand za Daladala. Hivi Dini zingeamua kufanya hivyo ingekuwaje?
Hivi unajua nyimbo za Zabron Singers zinapigwa mpaka BarTena sauti za mziki zina mafundisho, huburudisha, mf. Bar kuna mziki mzuri unaovutia wengi, utakutana na watu wa aina mbalimbali ambao sio wanafiki kama mambo ya dini. Mziki kwa umbaaaaali huku mnapeana maarifa jinsi ya kupambana na maisha.
Siku za Mwisho ndio zipi?Siku ya mwisho utaelewa kati ya mahubiri na huo mziki kipi ulistahili zaidi π
Siku za mwisho zann??Siku ya mwisho utaelewa kati ya mahubiri na huo mziki kipi ulistahili zaidi π
Af shida huwa hayana context, mfano hapa kuna msikiti, unakuta mahubiri mengine ni ya ndoa wanaweka kwenye kipaza sautiMahubiri yenyewe hayako friendly ni vitishooo yani mpaka unajiona wewe ni wa jehanamu tu
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app