jane_000 JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 547 Reaction score 43 Feb 20, 2012 #1 serekali wawekeshe kwenye soka la wanawake wanaume vimeo kila siku waonikifungwa tu hata hawafiki popote
serekali wawekeshe kwenye soka la wanawake wanaume vimeo kila siku waonikifungwa tu hata hawafiki popote
Maundumula JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 7,553 Reaction score 3,081 Feb 21, 2012 #2 Naunga mkono hoja kwa asilimia mia, kwa bongo wanawake wanajua mpira kuliko wanaume.tuwekeze kama china na usa ambao wamejua kama soka ya wanaume kwao si sana.
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia, kwa bongo wanawake wanajua mpira kuliko wanaume.tuwekeze kama china na usa ambao wamejua kama soka ya wanaume kwao si sana.