The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
HawatoboiGT
Mimi ni simba ila kitendo cha maCCM kuzichukulia timu zetu kama sehemu ya propaganda na campaign kuelekea uchaguzi mkuu kinanikera sana.
Kwa maana hiyo basi ili kuwakomesha hawa maCCM na kuwaziba midomo maana siwapendi acha tu simba sc wafungwe tu na wasichukue kombe kabisa.
Kama maCCM wangekuwa serious na mpira timu yaTaifa ingekuwa mbali sana Ila sasa wawekezaji wanajituma wao wanakuja nyumanyuma na kujitia umwmaba kwa kazi za wanaume wengine hovyo kabisa.
😀😀Mungu wabariki waafrika wa Kaskazini
Naunga mkono hojaGT
Mimi ni simba ila kitendo cha maCCM kuzichukulia timu zetu kama sehemu ya propaganda na campaign kuelekea uchaguzi mkuu kinanikera sana.
Kwa maana hiyo basi ili kuwakomesha hawa maCCM na kuwaziba midomo maana siwapendi acha tu simba sc wafungwe tu na wasichukue kombe kabisa.
Kama maCCM wangekuwa serious na mpira timu yaTaifa ingekuwa mbali sana Ila sasa wawekezaji wanajituma wao wanakuja nyumanyuma na kujitia umwmaba kwa kazi za wanaume wengine hovyo kabisa.
Mama yenu ananuka damu za watu wasio na hatia, anatembea na Roho za mauti, kila anapotia mkono hapana matokeo chanya.Naona mashabiki WA Rs Berkane mnaongezeka
Na mimi ni simba pia...hata wangefungwa nane ingekuwa sawa tu. Nchi imekuwa ya kipuuzi sanaGT
Mimi ni simba ila kitendo cha maCCM kuzichukulia timu zetu kama sehemu ya propaganda na campaign kuelekea uchaguzi mkuu kinanikera sana.
Kwa maana hiyo basi ili kuwakomesha hawa maCCM na kuwaziba midomo maana siwapendi acha tu simba sc wafungwe tu na wasichukue kombe kabisa.
Kama maCCM wangekuwa serious na mpira timu yaTaifa ingekuwa mbali sana Ila sasa wawekezaji wanajituma wao wanakuja nyumanyuma na kujitia umwmaba kwa kazi za wanaume wengine hovyo kabisa.
TrueSehemu yeyote ccm ikiingiza mkono wake ni laana Kama tunataka kuwa na soka safi tuachane na misaada ya serikali iliyochini ya ccm chafu hata mungu hawezi tubariki maana anajua watakuja kutamba kuwa bila mama michezo isingefika ilipo
Naichukia Sana club yeyote inayepokea misaada ya serikali badala ya kuwachangisha mashabiki