Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwani huo ufisadi umesababishwa na wanaoandamana?Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko ?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Madudu ya milion 200 wakati watu wanapiga mabilion.Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko ?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Achana na mimi mbwa weweUtalalamika hadi lini mkuu.?
Vipi Lumumba buku 7,kazikwe pembeni yake Chato inaonekana una mahaba bado,he is no moreOk tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko ?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Lumumba buku 7 mama yakoVipi Lumumba buku 7,kazikwe pembeni yake Chato inaonekana una mahaba bado,he is no more
Wamekunyima bk7 huko lumumba unahaha kama mbwakoko. Ile hela uliyokwiba Chadema ulifanyia nini hadi unahangaika hivi?Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko ?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Tafuta Hela acha kulalamika.Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko ?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Ufipa st huwa hakuna wajinga wasio jitambua, hivyo huyo hawezi kuwa hapo hata siku mojaUbarikiwe Kamanda Asiyechoka ukiwa hapo Ufipa st
Mungu wa mbinguni mrehemu shujaa Magufuli
Uteuzi haupatikani hivyo,kule hawakutaki na huku umekwaa kisiki 😁😁😁Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko ?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
Mtanikumbuka 😂😂😂🔥🔥Uteuzi haupatikani hivyo,kule hawakutaki na huku umekwaa kisiki 😁😁😁
Umeelewa mada lakini?!Zile za kununua wabunge wa upinzani na kuingiza nchi kwenye gharama za uchaguzi ulikuwa ni ufisadi mkubwa tu kama wa awamu zingine.
CCM wote baba yenu mmoja.
Wewe ni mshenzi tu kama washenzi wenzio. Magufuli aliyezuia wizi kutangazwa anakuwa wa maana kuliko anayetabgaza Wezi? Kama kuna kipindi nchi imeibiwa enzi za Jiwe zimevunja rekodi. 1.5T mpaka CAG anashikiwa mtutu halafu linajitokeza Chawa linasema hakukuwa na ufisadi? Makonda na makontena yake alikamatwa enzi za Nyerere?Ok tumeandamana Mwanza, Dar Mbeye na Arusha nini cha maana taifa limepata?
Kuingilia msafara wa Biteko ?
Leo hii hali ni mbaya sana. Maana pesa za umma zinachotwa hovyo na hakuna cha maana kikifanyika.
Mpaka waziri mkuu Majaliwa anazunguka nchi nzima kuibua madudu. Mbona wakati wa JPM haya tuliyasahau? Pamoja alizuia maandamano lakini taifa lilinufaika.
🤣🤣Si walishahama ufipa street?Ubarikiwe Kamanda Asiyechoka ukiwa hapo Ufipa st