Bora tanzania tusingekuwa na professors

Mash mill

Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
7
Reaction score
1
Wanajamvi kwakweli mimi nikiwa kama mtanzania sijaona kaz ya maprofesa katika mchango wowote zaidi ya kwenye siasa,kwa asilimia kubwa kwa tanzania maprofesa ndio wamechangia kuendelea kuanguka kwa taifa letu mfano,katika sector ya elimu profesa ndiye aliyefuta mtihani wa kidato cha pili
 
Dawa ya kuua wadudu wa pamba uligundua wewe?? Dawa na chanjo ya ukimwi iliyovumbuliwa pale muhimbili aligundua nani??? Vipi kuhusu Kina Shivji michango yao kwenye tasnia ya sheria hujaiona??? Tatizo ni siasa kuingizwa kwenye utendaji ila sio hawa wazee...hawana shida kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…