Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Mfumo wa Serikali upo kwa Kingereza.
Documents za Serikali zipo kwa lugha ya kingereza. mimi kwa mtazamo wangu ni Bora tutumie Lugha ya kingereza ndiyo iwe Lugha ya Taifa.
Tuachane na Kiswahili. Lugha ya Taifa ikiwa kingereza, tutakua tumepiga Hatua kubwa sana kwenye mawasiliano Duniani kote.
Documents Za Serikali ni kingereza, hii dhahili kua kingereza ndo lugha ya Serikali.
Note: Kama kiswahili kingekua na umuhimu documents za Serikali yako zingeandikwa kiswahili sasa Jiulize kwa nn wasitumie Kiswahili, kama kiswahili ni Mihimu