Bora uchelewe kuoa

Bora uchelewe kuoa

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
1,940
Reaction score
3,834
Apatae mke apata kitu chema, nae apata kibali kwa MUNGU.

KINYUME
Apatae mke apata tatizo jipya nae ajipatia kibali cha kuwahi kufa, maana presha na msongo havijawahi kumuacha mtu salama.

Kosea njia utaelekezwa, ila ukikosea kuoa, my brother utakinywea kikombe cha ghadhabu ya ndoa

Nting'irawanyuma
 
Ukichelewa kuoa unaweza Ukala mizingo mitamu kisha yote ikaolewa sasa ukihitaji kuoa unajikuta uko msituni na Simba wa Telanga.

Ushauri, usile mizigo mingi unaweza shindwa kuchagua mke sahihi. Na pia oa mapema ukipata mtu sahihi.
 
He mambo ya msingi kabla Ya kuoa tunayangalia? Au ukishapenda umependa. Kabla ya kuoa hakikisha yafuatayo (1)wazazi wa mchumba wamefunga ndoa? Na wanaishi maisha ya ndoa? Cio unaoa mwanamke mama yake anawatoto saba kila mtoto na Baba yake,hapo unategemea nini? (2)binti unaemuoa anadadazake watano waliomtangulia waliolewa wote wakaachika, ww unategemea nn? (3)baba ,Mama,wajomba,kaka dada kwa ujumla family ya walevi unategemea mke bora hapo? (4)ni wacha mungu au wanahofu ya mungu?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
ndoa ni moja ya paradiso ya duniani pale utakapo kuwa na mke mwema, ila ni moja ya jahannam ndogo... kwa waoaji kimbilieni hilo
 
He mambo ya msingi kabla Ya kuoa tunayangalia? Au ukishapenda umependa. Kabla ya kuoa hakikisha yafuatayo (1)wazazi wa mchumba wamefunga ndoa? Na wanaishi maisha ya ndoa? Cio unaoa mwanamke mama yake anawatoto saba kila mtoto na Baba yake,hapo unategemea nini? (2)binti unaemuoa anadadazake watano waliomtangulia waliolewa wote wakaachika, ww unategemea nn? (3)baba ,Mama,wajomba,kaka dada kwa ujumla family ya walevi unategemea mke bora hapo? (4)ni wacha mungu au wanahofu ya mungu?

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Mtoto anaweza kutoka kwenye familia mbovu na baadae akawa mtu bora , hivyo hivi vitu havina formula
 
Apatae mke apata kitu chema, nae apata kibali kwa MUNGU.

KINYUME
Apatae mke apata tatizo jipya nae ajipatia kibali cha kuwahi kufa, maana presha na msongo havijawahi kumuacha mtu salama.

Kosea njia utaelekezwa, ila ukikosea kuoa, my brother utakinywea kikombe cha ghadhabu ya ndoa

Nting'irawanyuma
Hii dhana ya kwamba ukikosea kuoa sijui nini, ni dhana iliyopitwa na wakati,Ni dhana ya watu wanao penda kuogopa vitu vidogo na ambao wanaishi kuwa furahisha watu wengine na sio nafsi zao wenyewe,

Ndoa kama imekuwa chungu, vua pete chapa lapa, Hakuna dini inayokataza TALAKA, ila kuna dini ambayo TALAKA had kutolewa ina mchakato , sasa utaona mtu anang'ang'ania kwenye ndoa ambayo kwa vigezo vya dini yeyote imeshakuwa siyo ndoa, ndo hao wanaokuja kulinganisha ndoa na vitu vya ajabu. Upatae mke apata kitu chema full stop. haijawahi kubadilika, Ukikosea kuoa Muislaam fanya utaratbu mwingine, Mkristo vumilia ila kama kuna makosa yahusiyo uzinzi ruksa kuchapa lapa
 
Unlike women, men lose all power after they say “I do.” Their masculinity dies, too hivo msioe vijana mtalia sana, tafuta pesa tu!!
 
Apatae mke apata kitu chema, nae apata kibali kwa MUNGU.

KINYUME
Apatae mke apata tatizo jipya nae ajipatia kibali cha kuwahi kufa, maana presha na msongo havijawahi kumuacha mtu salama.

Kosea njia utaelekezwa, ila ukikosea kuoa, my brother utakinywea kikombe cha ghadhabu ya ndoa

Nting'irawanyuma
Siku hizi hawaoi vijana, wenyewe wanasema "wanajisogezea" tu.

Hawatakishida.
 
Aisee

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Kila kitu kina faida na hasara
Ila wenye akili tunaangalia zipi nyingi kati ya faida na hasara?
kwenye ndoa faida nyingi zaidi................kuliko hasara
WACHA TUOE!!!!
 
😀 ila dah mungu atusamehe tu na hizi zambi tunazozifanya
Hakuna Mungu na mkikubaliana wawili hakuna dhambi.

Dhambi unapoanza kujishuku kuhusu jamii itakuonaje katika jambo ambalo wahusika wakuu wawili mshakubaliana.

Nikuulize swali.

Tuseme kuna couples mbili.

Couple A
Mwanamme amepatana na mwanamke, waishi pamoja bila ndoa wala makeke yanayotakiwa na jamii, wakaishi vizuri kwa mapenzi ya heshima na ajabu. Mpaka watu wa nje wanatamani kuwa hivyo.

Couple B
Mwanamme kamuoa mwanamke kwa nderemo, vifijo na sherehe zote. Lakini baada ya ndoa visas na visasi, mabibi wa nje wengi, kupigana kila siku, kesi kwa wazazi hziishi, mambo ya aibu juu ya aibu.

Kati ya hizo couples mbili utaona ipi afadhali?
 
Back
Top Bottom