Mtoto anaweza kutoka kwenye familia mbovu na baadae akawa mtu bora , hivyo hivi vitu havina formulaHe mambo ya msingi kabla Ya kuoa tunayangalia? Au ukishapenda umependa. Kabla ya kuoa hakikisha yafuatayo (1)wazazi wa mchumba wamefunga ndoa? Na wanaishi maisha ya ndoa? Cio unaoa mwanamke mama yake anawatoto saba kila mtoto na Baba yake,hapo unategemea nini? (2)binti unaemuoa anadadazake watano waliomtangulia waliolewa wote wakaachika, ww unategemea nn? (3)baba ,Mama,wajomba,kaka dada kwa ujumla family ya walevi unategemea mke bora hapo? (4)ni wacha mungu au wanahofu ya mungu?
Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
Hii dhana ya kwamba ukikosea kuoa sijui nini, ni dhana iliyopitwa na wakati,Ni dhana ya watu wanao penda kuogopa vitu vidogo na ambao wanaishi kuwa furahisha watu wengine na sio nafsi zao wenyewe,Apatae mke apata kitu chema, nae apata kibali kwa MUNGU.
KINYUME
Apatae mke apata tatizo jipya nae ajipatia kibali cha kuwahi kufa, maana presha na msongo havijawahi kumuacha mtu salama.
Kosea njia utaelekezwa, ila ukikosea kuoa, my brother utakinywea kikombe cha ghadhabu ya ndoa
Nting'irawanyuma
Bestiiii kwani ww tayari au bado?And Vice versa
Kweli kabisandoa ni moja ya paradiso ya duniani pale utakapo kuwa na mke mwema, ila ni moja ya jahannam ndogo... kwa waoaji kimbilieni hilo
Siku hizi hawaoi vijana, wenyewe wanasema "wanajisogezea" tu.Apatae mke apata kitu chema, nae apata kibali kwa MUNGU.
KINYUME
Apatae mke apata tatizo jipya nae ajipatia kibali cha kuwahi kufa, maana presha na msongo havijawahi kumuacha mtu salama.
Kosea njia utaelekezwa, ila ukikosea kuoa, my brother utakinywea kikombe cha ghadhabu ya ndoa
Nting'irawanyuma
Tunajiaminisha hivyo.Kwa hiyo ukichelewa ndio utapata mke bora au?
π ila dah mungu atusamehe tu na hizi zambi tunazozifanyaSiku hizi hawaoi vijana, wenyewe wanasema "wanajisogezea" tu.
Hawatakishida.
Hakuna Mungu na mkikubaliana wawili hakuna dhambi.π ila dah mungu atusamehe tu na hizi zambi tunazozifanya