Bora ugaidi kuliko ushoga

Bora ugaidi kuliko ushoga

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi.

Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.

Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.

Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.

Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.

Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.

JESUS HELP US
 
Uzi tayari
 
Ushoga au Ugaidi
Yaan vyote ovyo sio tamaduni za Mwafrika waafrika walikua wanaishi na kuishia vizuri mpaka wazungu walipokuja kuwavuruga na kuwavurugia tamaduni zao za asili kwa kuwapa nguo na vioo vya kujitazamia na kuangamia kwenye biashara utumwa Bahari ya Antaktikia, wakawaambia waache kuabudu miungu wao kwenye mibuyu na miti mikubwa ya asili na mabwawa na maeneo yote ya kutambikia wakawapa Mungu wanaomjua wao wamuabudu, waafrika hawakujua ugaidi na ushoga kabla ya wazungu ingawa Vita za makabila zilikuepo tangu kitambo hicho
 
Na ukifuatilia makundi ya kigaidi yanayojinasibisha na Uislamu ,hakuna msomi wa uhakika wa dini wala kiongozi wa dini wa wa uhakika ambaye anayasapoti kwanza wako kinyume na Uislamu na hata ukiwa muislamu kama hauwasapoti wewe ni Kafiri utachinjwa na kuuwawa hata ukiwa msikitini..
 
Mzuka wanajamvi.

Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.

Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.

Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.

Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.

Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.

JESUS HELP US
Aiseee ni tatizo.
 
Yaan vyote ovyo sio tamaduni za Mwafrika waafrika walikua wanaishi na kuishia vizuri mpaka wazungu walipokuja kuwavuruga na kuwavurugia tamaduni zao za asili kwa kuwapa nguo na vioo vya kujitazamia na kuangamia kwenye biashara utumwa Bahari ya Antaktikia, wakawaambia waache kuabudu miungu wao kwenye mibuyu na miti mikubwa ya asili na mabwawa na maeneo yote ya kutambikia wakawapa Mungu wanaomjua wao wamuabudu, waafrika hawakujua ugaidi na ushoga kabla ya wazungu ingawa Vita za makabila zilikuepo tangu kitambo hicho
Duuuh globalization mkuu.,,
sikupingi kabisa an
Ila kwa hii ishu ya ushoga na ugaidi kila mmoja atakuja na tafsiri yake..

Kwanini jamaa kafanya comparison kati ya ugaidi na ushoga hapo ,,,?
 
Na hayo makundi ya kigaidi yameuwa zaidi Waislamu kuliko dini nyingine yeyote ile ,na ukifuatilia mengi Yana wakubwa nyuma ya pazia wanawapa masilaha ,pesa ya kujikimu nk .. watu wasio jua dini Yao vizuri wanachotwa akili na kumezeshwa sumu Kali huku wakijua wako Sahihi na wanapambania dini.
 
Mzuka wanajamvi.

Wagalatia tusikubali kabisa mambo ya wazungu sasa hivi ya ushoga yafike hadi Africa.

Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.

Lakini sasa hivi watuache tumuabudu Yesu kwa usahihi na utashi wetu. HATUTAKI USHOGA.

Hongera viongozi wa kikristo Africa, Asia na Latin America kusimama thabiti kusimamia misingi thabiti ya uadilifu katika imani ya kweli na upendo.

Yani bora tu ugaidi kuliko ushoga. Wagalatia tunapitia wakati mgumu sana. Yani kila ukipangua hoja za kina adriz na Ritz wanakuambia nenda ukabarikiwe basi unabaki umenyong'onyea.

JESUS HELP US
Acha ujinga uovu hauna mbadala kwa uovu mwingine.
 
Na ukifuatilia makundi ya kigaidi yanayojinasibisha na Uislamu ,hakuna msimi wa uhakika wala kiongozi wa dini wa wa uhakika ambaye anayasapoti kwanza wako kinyume na Uislamu na hata ukiwa muislamu kama hauwasapoti wewe ni Kafiri utachinjwa na kuuwawa hata ukiwa msikitini..
Na kama sio muslim ambaye umesoma dini uwezi kujua haya.
Ndio maana watu wanahusisha uislam na ugaidi.
It_IS_About_Islam_Exposing_the_Truth_About_ISIS,_Al_Qaeda,_Iran,_and_the_Caliphate
 
Back
Top Bottom