Bora ugaidi kuliko ushoga

Amechotwa akili na kusahaulishwa asili yake ndio maana anaambukizwa tamaduni za ajabu km ushoga na ugaidi ambazo sio tamaduni za Mwafrika, hajui hata aliekiandika hio biblia ni huyo huyo Mzungu na kwenye Mzungu akatoka Z ikawa Mungu
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Dizasta alisema hatia 111
 
Mzungu mwenye kahubiriwa, Christianity imetoka middle east, wazungu wanapatikana middle east sio??
Hio lugha ya Gee'ez wazungu walikuwa wanaijua sio??
Sio tamaduni ya Mwafrika kumwabudu Yesu hio tamaduni imeletwa na Wamisionari sasa unakataa nini unabishana na ukweli wewe Babu yako mzaa Babu wa Babu yako anakusikitikia pale kwenye kaburi lake kwamba umepotoka kwa kufuata tamaduni ulizoletewa na wazungu na kuachana na tamaduni zako za asili sasa wanataka uwe Shoga
 
Ndo ivo mkuu, kwani ushoga sasa hivi haupo??
Pamoja na kua majority hatupo huko lakini hakuna asiejua kua nchi hii pia inanuka nnya za kiume.?

Vipi mmoja wetu akajitosa kusaka data sahihi, si atakutana na balaa.
Hivi ishu ya kupinga ushoga ni ipo kiimani zaidi au kiafya ...?
Nijue hapo tu..
 
Seen.
 
Brother hivi unajua tamaduni za kiafrika za zamani??
 
Tunawashukuru wazungu kwa kutuletea injili. Mungu hawabariki mamishenari wa mwanzo kwa kutuletea nuru na habari njema ya Yesu.
Injili gani wewe.

Wameondoa fikra huru kwa kuleta hizo hadithi. Mtu hawezi kutumia akili kila kitu anaita damu ya yesu imkomboe, si ujinga huo?

Tukatae mpaka dini.
 

Hamna cha bora
Ushoga mtu huufanyia mwili wake

Ugaidi mtu hufanya juu ya binadamu wenzie.

Sijui hiyo bora iko wap
 
Injili gani wewe.

Wameondoa fikra huru kwa kuleta hizo hadithi. Mtu hawezi kutumia akili kila kitu anaita damu ya yesu imkomboe, si ujinga huo?

Tukatae mpaka dini.
""Tukatae mpaka dini""
Mmechafukwa aiseeee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kumbe africa tunapinga ushoga kutokana na tamaduni... Hapo nimeelewa sasa...
Japo suala hili watu wanahusha na dini sasa
Sio tamaduni za Mwafrika kufanyana mashoga hizo ni tamaduni zao huko huko wanataka waafrika nao wazifuate Sawa Buddha Babu yako mzaa Babu wa Babu wa Babu wa Babu yako mzaa wa Babu yako angekua Shoga tusingesikia wala kukuona ukitype hapa,
 
Sio tamaduni za Mwafrika kufanyana mashoga hizo ni tamaduni zao huko huko wanataka waafrika nao wazifuate Sawa Buddha Babu yako mzaa Babu wa Babu wa Babu wa Babu yako mzaa wa Babu yako angekua Shoga tusingesikia wala kukuona ukitype hapa,
Astakafillah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ugaidi ni mauaji na kama utaendekezwa kizazi kitaangamia ila pia ushoga kama utaendekezwa basi Δ·izazi kitapotea kwa maana watu hawatazaliana so kwangu zote ni dhambi kubwa sana dhidi ya muendelezo wa binadamu
 
Maghayo, unawasaidia magaidi kwamba ni afadhali kuliko ushoga!? Hapo hakuna kinachokubalika usidanganywe na ahadi za kupewa mabikra 72 ukaona afadhali ugaidi. Subiri siku wale waliouwa wanafunzi 150 wa kikristo kule garisa kenya wavamie hapo unapobeba box tuone kama utakuja kusema ni afadhali.
Hapo hakuna kunachokubalika. No ushoga, no ugaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…