Bora ulevi noma lakini pombe ni hatari sana kiafya

HAZOLE

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
1,551
Reaction score
713
Nimekuwa nikicheka sana ninaposikia matangazo ya ulevi noma. Wao wanaonyesha madhara ya pombe katika kumuumbua mtu lakini naomba niongezee kidogo. Katika somasoma yangu ya udaktari, nimeona katika magonjwa yote makubwa makubwa mfano; cancer, figo, ini, heart attack, cardiac arrest, matatizo ya ubongo etc, mbali na sababu nyingine lakini alcohol + cigarette nazo zinachangia sana katika majanga haya. Mimi nilikuwa mnywaji na nilishauriwa sana but kwasasa nimeacha duh. Jamani tusinywe ili tuishi vema na ikiwezekana miaka mingi.
Chonde chonde pombe.....nooooooma
 
duh tutazingatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…