Bora ungekuwa kikojozi

unque bin unuq

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2017
Posts
350
Reaction score
456
Kijana mmoja mwenye macho makubwa alikuwa na msihana wake. Siku moja akaulizwa na dem wake sababu gani ilimfanya awe na macho makubwa namna hiyo. Kijana akafikiri kwa haraka haraka akaja na jibu " Unajua mie wakati ni mdogo nilikuwa ninalia sana, sasa hii ilipelekea macho kuwa makubwa." Yule dada akamwangalia kwa huzuni na nikusema " Too bad. Heri utotoni ungelikuwa UNAKOJOA SANA."
 
Ha ha ha

Kwa hiyo jamaa ana kibamia ,ina maana angekuwa anakojoa kutoka utotoni huku ukubwani angekuwa na dushe kubwa au? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nadhani anajua yeye alimaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…