Bora usome Advance kwanza ukienda Diploma utasoma muda wowote

Mechanic 97

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2021
Posts
854
Reaction score
1,296
Wakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri.

Mimi naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
 
Wakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri Mm naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
Siku ukijua kati ya advance na diploma ni kipi muhimu uje hapa uombe msamaha
 
Wakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri Mm naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
Wapo waliotoka diploma wanafanya vizuri ila ulichokiongea kina ukweli kwa uzoefu wangu waliotoka form 6 huwa wanakua vzr kuliko waliotoka diploma pale wanapokutana kwenye ngazi ya degree. Lakini yote kwa yote hapa bongo malezi yetu kitaaluma na kijamii ni ngumu sana mtu kujua kipaji/kipawa chake tangu mapema ili aweze kujinoa zaidi ivyo tunajikuta wote tunakomaa na shule hata tukidunda hapo kati kwenye form 4 au 6 tunaunga unga tu mpaka uko ngazi ya degree kibishi lakini kiuhalisia elimu ya kitabu sio kwa ajili ya kila mtu.
 
Nikisikia mtu kasoma diploma kwa kutokea form four basi sibishani tena najua atakuwa na uwezo mdogo kwenye mambo mengi

Form six ndio SI unit kwa kukomaza akili na uwezo wa kufikiri
 
Ndo hivyo mkuu ila sikuzi sema technology inasaidia sana
 
Nikisikia mtu kasoma diploma kwa kutokea form four basi sibishani tena najua atakuwa na uwezo mdogo kwenye mambo mengi

Form six ndio SI unit kwa kukomaza akili na uwezo wa kufikiri
Hakuna ukweli wowote, namjua aliyetoka form 4 akaingia IFM, in graduation alikuwa best student overall, sasa ni big time chartered accountant in London
 
Back
Top Bottom