Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
Washamba ni diploma wenzio ambao tulikuwa tunawafundisha na walikua wanaangaliziana kidogoWe mshamba kweli
Duuu! Kwahiyo nani anakariri sasaUkiona unakarii masomo, ujue elimu siyo chaguo lako... Fanya mambo mengine hata utingo tu.. [emoji2955][emoji2955]
Naona umegoma kabisa kuelewa mkuu... 🤨🤨.Duuu! Kwahiyo nani anakariri sasa
Basi poa diploma wote ambao hawajapita advance inabidi tuwalete huko kwenye utingo.Naona umegoma kabisa kuelewa mkuu... [emoji2955][emoji2955].
Siku ukijua kati ya advance na diploma ni kipi muhimu uje hapa uombe msamahaWakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri Mm naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
Mimi sijasema hivyo mkuu....Basi poa diploma wote ambao hawajapita advance inabidi tuwalete huko kwenye utingo.
Wapo waliotoka diploma wanafanya vizuri ila ulichokiongea kina ukweli kwa uzoefu wangu waliotoka form 6 huwa wanakua vzr kuliko waliotoka diploma pale wanapokutana kwenye ngazi ya degree. Lakini yote kwa yote hapa bongo malezi yetu kitaaluma na kijamii ni ngumu sana mtu kujua kipaji/kipawa chake tangu mapema ili aweze kujinoa zaidi ivyo tunajikuta wote tunakomaa na shule hata tukidunda hapo kati kwenye form 4 au 6 tunaunga unga tu mpaka uko ngazi ya degree kibishi lakini kiuhalisia elimu ya kitabu sio kwa ajili ya kila mtu.Wakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri Mm naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
Nikisikia mtu kasoma diploma kwa kutokea form four basi sibishani tena najua atakuwa na uwezo mdogo kwenye mambo mengiWakuu Kwa jinsi nilivyokua baada ya form four na vile nilivyokua baada ya form six ni tofauti mno. Na vile nilivyowakuta diploma wakutoka form four wanavyokariri Mm naomba ni washauri kama unataka kufanya makubwa nenda advance ila kama unataka elimu ya tia maji Ili uajiliwe nenda tia maji.
Ajira hizi hizi za kibongo ambazo mishahara ni chini ya 1m. Aaaah! Kweli wasomi wa bongo mnatatizo kichwani.Siku ukijua kati ya advance na ajira ni kipi muhimu uje hapa uombe msamaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Washamba ni diploma wenzio ambao tulikuwa tunawafundisha na walikua wanaangaliziana kidogo
SawaMimi sijasema hivyo mkuu....
Ndo hivyo mkuu ila sikuzi sema technology inasaidia sanaWapo waliotoka diploma wanafanya vizuri ila ulichokiongea kina ukweli kwa uzoefu wangu waliotoka form 6 huwa wanakua vzr kuliko waliotoka diploma pale wanapokutana kwenye ngazi ya degree. Lakini yote kwa yote hapa bongo malezi yetu kitaaluma na kijamii ni ngumu sana mtu kujua kipaji/kipawa chake tangu mapema ili aweze kujinoa zaidi ivyo tunajikuta wote tunakomaa na shule hata tukidunda hapo kati kwenye form 4 au 6 tunaunga unga tu mpaka uko ngazi ya degree kibishi lakini kiuhalisia elimu ya kitabu sio kwa ajili ya kila mtu.
Wenye akili wamepita wapi?Uwe umepita form four au umepita form six, kwa upande wa Africa wote ni vilaza tu.
Hakuna ukweli wowote, namjua aliyetoka form 4 akaingia IFM, in graduation alikuwa best student overall, sasa ni big time chartered accountant in LondonNikisikia mtu kasoma diploma kwa kutokea form four basi sibishani tena najua atakuwa na uwezo mdogo kwenye mambo mengi
Form six ndio SI unit kwa kukomaza akili na uwezo wa kufikiri