Bora uuze mayai au uuze utu wako kwa waajiri?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Vijana mnalochaguo moja tu Tanzania. Aidha, ujiajiri ubaki kusimamia unachoamini kwa utashi wako Ni sahihi au uajiriwe uelekzwe nini uamini na kutenda.

Awali tumejionea vijana wasio na miradi yakueleweka walivyonyanyaswa. Na kundi hili kwa kuona aibu kila likisikia njaa likiwa upande mmoja uhamia upande wa pili na adaa kibao. Leo Kuna watu tunaaminishwa eti ni watu wa system kumbe siyo watu wakuaminika niviumbe waliochezea ujana wao kwa kushindwa kujiajiri wakajielekeza kuajiriwa.

Meya Jacob anauza mayai na yupo uru na mayai yake, wakati akina Mashinji, Nasary ,kalisti,Slaa wakiwa wameajiriwa lakini Awana Uhuru wakusema. Si kwamba wanakosa la kusema ila kwao ajira inawafunga mdomo. Kila siku wanaomba wateuaji wasiingiwe na roho ya kutengua.

Kwanini ujidhalilishe? Bora uuze mayai kuliko ajira inayosimamisha maisha yako na kuruhusu uishi maisha ya paymaster

Vijana na wazee tafteni miradi mwajiri watu siyo kusubiri uteuzi.
 
Wenye vitengo vyao watasema una wivu
 
Utakapo idharau kazi ya mwenzio wakati inalisha familia yake, mwengine anahangaika na mafile ingia toka panda shuka kila ofisi. Kujiajiri ni bwana kuajiriwa ni utumwa.



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…