WanaJF naombeni mnisaidie kwa ili nabishana sana nadadazangu wao wanataka niwaletee mwanamke mzuri tabia sura yoyote, wakati mie naamini mwanamke sura tabia ntambadilisha mana naogopa kuna wanawake wengine tabia utapenda ila sura mhh balaa,naogopa kuwanyima watoto raha kama wakifwata sura hiyo ya mama yao mwenye tabia nzuri washindwe hata gombea Miss Beachkidimbwi!
Karibuni!!!!!!!!
hahaaaaaaaaaaaa eti miss beachkidimbwi..hio kali.
nakubaliana na wewe sura ni muhimu zaidi..:teeth::embarrassed:
Ndugu, wapo waliooa kwa kuangalia sura na hivi sasa wanajuta. Ndoa zao sasa ni kama jehanamu. Wanatamani wangeoa mwenye sura kama ng'ombe lakini mwenye tabia nzuri.
Sijawahi kumsikia mwanaume yeyote akilalamika mitaani kwamba hana raha na ndoa yake kwa kuwa mke wake ana sura isiyovutia. Lakini kuna lundo la migogoro ya ndoa kutokana na tabia zisizoridhisha. Take care!!
you better have plain wife for yourself than beautiful wife for others...........hapa namnukuu fellow tablets ASPIRIN kwenye signecha lake la zamani. hili signecha ukiliangalia kwa undani linamake sense na nakubaliana nalo lakini sura mbovu bana inaweza ikaleta maghost ndani ya nyumba. nazani kama alivyosema afro mwana wa pekee wa mzee denzi hapo juu, uwezekano wa kupata mwenye sifa zote upo!
hahahhaahhah lol
duuhhh asante
nilisema hivyo kwa sababu nilmpataga lakini naona sasa yuko
usy anataka kuzindua album yake mpya na ana dance ka MJ lol
dah acha nilog out, nimeanza kuhisi giza la macho gafla, nazani waswahili wameanza kuniloga baada ya kuona niko na afrodenzi. waswahili bana!