Bora uzuri au tabia?


always girlfriend/nyumba dogo, twafata uzuri

mke ni tabia, full stop

ndio maana twawa na jembe(mke) na wasaluni(hawara)
 
uzuri unaongeza hata ladha ya mapenzi asikufiche m2?Chukua mbaya uone kama utaenjoy life.
 
Uzuri wa sura umo katika macho ya mtazamaji, na utu wa mtu
hauangaliwi sura tu. Hata hoa Mamiss World hawachaguliwi kwa
sura zao nzuri tu. Tabia na uelewa wa mambo unazingatiwa pia.

Muhimu katika ndoa ni mapenzi ya dhati toka pande zote mbili.
Mkipendana (au ukishakupenda) mengine yote hamyazitangatii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…