Bora wanaume wa Dar kuliko wa Zanzibar

Bora wanaume wa Dar kuliko wa Zanzibar

GEE2PATEL

Senior Member
Joined
Oct 24, 2018
Posts
139
Reaction score
293
Wanaume wa zanziba na Tanga, hawana.tofauti,

Wazembeee, alafu sasa waoga mpaka kulala peke yao vyumbani,

Mimi Bilionea Patel
 
Ha ha ha umenikumbusha chalii angu mmoja pale Mabibo hostel wakati tuko first year alikuwa ni Mpemba .
Usiku akilala anavaa kipande cha jeans afu anamalizia na bukta kwa nje .
Ukimuuliza anakumbia yakhe nyie watu wa Bara sio watu wazuri. Na alikuwa hataki mambo ya kubebana.
 
Hahahaha
 
Back
Top Bottom