HahahahaHa ha ha umenikumbusha chalii angu mmoja pale Mabibo hostel wakati tuko first year alikuwa ni Mpemba .
Usiku akilala anavaa kipande cha jeans afu anamalizia na bukta kwa nje .
Ukimuuliza anakumbia yakhe nyie watu wa Bara sio watu wazuri. Na alikuwa hataki mambo ya kubebana.
. WE UTAKUWA NI MWANAUME WA DAR SIO BURENyote wale wale