Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Nimeona tayari ikulu kama imeshaisha Dodoma.
Nawapongeza Dodoma city kwa mpango miji walioufanya, aina za nyumba, kuna maeneo ukienda utakuta nyumba zote rangi moja. Tunaomba sasa Mh. Rais aboreshe zile barabara, sio viwe vibarabara vidogovidogo kama vya miji ya kibongo, tunao uwezo kuifanya Dodoma iwe kama Windhoek kabisa.
Barabara ziwekewe lami na ziwe pana, taa za barabarani n.k. pia huduma ya maji toka ziwa victoria ifanyike ili kusiwe na shida ya maji kama ilivyo desturi ya Dodoma.