Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hamna kitu lakini tunaweza kuifanya kuwa kitu. pia usifikiri kila mtu wa dom, wengine hapo huja kwa matembezi tu.Usilinganishe hiyo Dodoma yako na vitu vya maana wewe, jiangalie sana yani kuishi hapo nkuhungu ndio unajiona umefiiika , hamna kitu huko.
Nasikia mwenye huo mjengo pichani kwenye mzunguko aligoma kubomoa wao wakaamua kuzungusha barabara awe katikati.nimeona tayari ikulu kama imeshaisha Dodoma. nawapongeza Dodoma city kwa mpango miji walioufanya, aina za nyumba, kuna maeneo ukienda utakuta nyumba zote rangi moja. tunaomba sasa Mh. Rais aboreshe zile barabara, sio viwe vibarabara vidogovidogo kama vya miji ya kibongo, tunao uwezo kuifanya Dodoma iwe kama Windhoek kabisa. barabara ziwekewe lami na ziwe pana, taa za barabarani n.k.pia huduma ya maji toka ziwa victoria ifanyike ili kusiwe na shida ya maji kama ilivyo desturi ya dodoma.
View attachment 2256108
Shida ya Maji itakwisha by 2025 kwa kukamilika kwa Bwawa la Farkwa ambalo limeanza ujenzi..Nimeona tayari ikulu kama imeshaisha Dodoma.
Nawapongeza Dodoma city kwa mpango miji walioufanya, aina za nyumba, kuna maeneo ukienda utakuta nyumba zote rangi moja. Tunaomba sasa Mh. Rais aboreshe zile barabara, sio viwe vibarabara vidogovidogo kama vya miji ya kibongo, tunao uwezo kuifanya Dodoma iwe kama Windhoek kabisa.
Barabara ziwekewe lami na ziwe pana, taa za barabarani n.k. pia huduma ya maji toka ziwa victoria ifanyike ili kusiwe na shida ya maji kama ilivyo desturi ya Dodoma.
View attachment 2256108
huo mjengo ni kanisa, sio jengo la mtu binafsi. kuhusu kipato, unaweza kushangazwa kwamba Dodoma sasaivi kipato sio kama cha zamani, and as mji utakavyoboreshwa panaweza pasiwe na utofauti sana.Nasikia mwenye huo mjengo pichani kwenye mzunguko aligoma kubomoa wao wakaamua kuzungusha barabara awe katikati.
Una uhakika kipato cha huko WH ni sawa na Dom? Huko hawashindii ubuyu na karanga mbichi.
maji ya Farkwa ndio nini? wapi? howShida ya Maji itakwisha by 2025 kwa kukamilika kwa Bwawa la Farkwa ambalo limeanza ujenzi..
Maji ya Ziwa Victoria ni swala la mradi mrefu zaidi.
Acha kumkatisha tamaa mkuu,tukiwa serious inawezekana kabisa,na hii kampeni ya kupanda miti kama ikifanikiwa inawezekana kabisa Dodoma kuwa green na kupendeza sana.Karibu mnadani kesho mkuu tukatafune nyama kidogo...Usilinganishe hiyo Dodoma yako na vitu vya maana wewe, jiangalie sana yani kuishi hapo nkuhungu ndio unajiona umefiiika, hamna kitu huko.
Umesahau kuweka picha ya SWASWA ili twende sawa na WindhoekNimeona tayari ikulu kama imeshaisha Dodoma.
Nawapongeza Dodoma city kwa mpango miji walioufanya, aina za nyumba, kuna maeneo ukienda utakuta nyumba zote rangi moja. Tunaomba sasa Mh. Rais aboreshe zile barabara, sio viwe vibarabara vidogovidogo kama vya miji ya kibongo, tunao uwezo kuifanya Dodoma iwe kama Windhoek kabisa.
Barabara ziwekewe lami na ziwe pana, taa za barabarani n.k. pia huduma ya maji toka ziwa victoria ifanyike ili kusiwe na shida ya maji kama ilivyo desturi ya Dodoma.
View attachment 2256108
👇maji ya Farkwa ndio nini? wapi? how
Hata hapa nchini ipo misikiti ambayo wenyewe waligoma kuibomoa, mwenyewe si lazima awe mtu mmoja.huo mjengo ni kanisa, sio jengo la mtu binafsi. kuhusu kipato, unaweza kushangazwa kwamba Dodoma sasaivi kipato sio kama cha zamani, and as mji utakavyoboreshwa panaweza pasiwe na utofauti sana.
VP anashughulikia jambo hiliNi commitment tu, tena inawezekana hasa kwenye kuibadilisha Dodoma kuwa kijani.......
Umesahau kuweka picha ya WINDHOEK city ili twende sawa