JINSI YA KUBORESHA MWILI
Wadada wengi wanapenda kuharibu miili yao kwa njia ya uzazi wa mpango unaombatana Na kemikali ndani yake. Mfano wa hayo ni matumizi ya sindano, kijiti (kipandikizi) n.k
Naomba nikushauri badala ya kutumia njia hizo hatari tumia kalenda kwan itakusaidi zaidi kiafya, kuujenga mwili katika hali yake halisi na kufurahia uzazi bora na Salama zaidi.
Ebu tuwaangalie wadada zetu leo miili yao ilivyo haribika kutokana na matumizi ya kemikali, wamekuwa na vitambi vinavyozuia hata maene muhimu wakati wa kufanya usafi wa mwili.