Boring Business Idea!

Unahisi kwanini?
 
Unahisi kwanini?
Lack of experience,lakini hiyo lack of experience haipo kwenye kuijua biashara pekee.
Kwenye somo la marketing kuna kipengele kimoja cha kwenye marketing strategies kinaitwa "Know the Culture of the audience"
So kwenye kuijua culture of the audience hapa ndipo nilifeli.
So hapa tunapata assumptions zifuatazo
1.Inawezekana culture yao ya hapo hawapendi kununua kwa wafanyabiashara wageni.
2.Inawezekana huwa hawapendi kubadilisha suppliers waliowazoea bila kujali ubora wa bidhaa za supplier mpya.
 
TATIZO MKUU.MITAJI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…