Boris Johnson arejea London, atajwa kuwania tena Uwaziri Mkuu

Wabunge walimpindua ila anapendwa sana na wanachama wengi.

Kwahiyo akiwa wa pili tu, huku kwa wanachama hana wasiwasi, wanampemda sana.

Rishi anapendwa na Wabunge, ila wanachama hawamtaki.

So reserve your comment boss.
Yetu macho tusubili tuone.
 
Cha msingi ni kutambua tu kuwa maoni ya kikosi kazi si mwisho wala amri kwa serikali. 🙄🙄
 
Unaongea utadhani hata una uwezo wa kufanya maamuzi ya kutomrejesha BOJO.Next week anashinda na anarudi pale no 10 ndiyo mtajua kuwa hamjui.
Bojo pamoja na Truss vilivyochangia kuwa timua no uninga
Unaongea utadhani hata una uwezo wa kufanya maamuzi ya kutomrejesha BOJO.Next week anashinda na anarudi pale no 10 ndiyo mtajua kuwa hamjui.
Hana lolote na akirudi atarudi akiwa na adabu debe.Kwani tayari wanajua sababu za kuanguka kwao😂
 
Ningeshangaa sana usingemuhusisha Ruto hapa,btw naona swahiba wako anapiga usanii tu kwa sasa ni swala la muda akishamaliza kuunda Serikali yake Wakenya ndiyo watauona uhalisia.Kwa sasa bado wapo honey moon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…