Wee waangalie walivyokuwa wanashika mkia, wakajitahidi mpk no 6.Chelsea ilivyo kwa sasa kubeba kombe labda waliibe
Tutaita fire ya Mwamposa ikateketeze hiyo laana πLaana ya Abramovich bado inaitafuna timu
Mapema sanaβ usiku wote huu anataka kuleta tabia za kiswahiliNaona ban imehusika chap kwa kijana
WatajipangaHaha hapa boss aweke mzigo wa kutosha
Imemlipukia π€£π€£Alikua anatest mitambo
Mod wako vizuri. Kumbe wanafanya kazi 24/7 πDakika za jioni umechomoa battery
ππ usiseme hivyo. Watasikia wafike na hapaWanafanya kazi kwako tu. Uzi wa jamaa alipiga kelele lakini wapi bado ukawa umefungwa
Ndugu yangu kitamboInaumaaa lakini πππ sema ukiwazia haikupi pesa, unajikaza unasonga