Borussia Dortmund (The Black and Yellows) - Official Thread

amewatesa sana jana vijana wa cholo msimu uliopita inaonekana alikua ana mambo mengi sana nje ya uwanja ila msimu huu kauma kucheza mpira
Msimu huu umekua bora sana kwake japokua kwenye ligi bado wanajitafuta
 
Hongera kwa ushindi BVB na pia kwa kujinyakulia nafasi ya UCL msimu ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…