Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Khaaaa unawatakia nn wana arsenal mkuu? Utawaua kwa pressure hapoAende ARSENAL sasa.
Walikuwa wanamuhitaji kitambo tuKhaaaa unawatakia nn wana arsenal mkuu? Utawaua kwa pressure hapo
Kile kibabu chao kitakubali ?Aende ARSENAL sasa.
Nasikia Wenger kagoma
Cc:
Mussolin5
Noma kweli !Kaongezewa mkataba wa miaka miwili leo, kwenye mkutano wa board ya Arsenal.. Wanae huyu..
Kwani hajatimuliwa mjomba ?Haumjui Tuchel na hauijui Borussia Dortmund bro
Katimuliwa lakini sababu za kutimuliwa kwake sio za matokeo ya uwanjani jamaa kaisuka upya Dortmund ambayo ilishapoteza muelekeo tangia ule msimu wa mwisho wa Jurgen KloopKwani hajatimuliwa mjomba ?
Baada ya kuijenga ikawaje ? Halafu huko kutofautiana ni vipi ?Tuchel kaondoka kwasababu ya kutokua na maelewano mazuri na viongozi wa timu. Hiyo ndio sababu kubwa,kuhusu matokeo na muenendo wa timu Tuchel kajitahidi kuijenga Dortmund upya.
Baada ya kuijenga ikawaje ? Halafu huko kutofautiana ni vipi ?
Hapana mkuu, Tuchel haja resign ila mkataba wake wameu terminate, Toka lile suala la bomu lilivotokea watzke hakupenda taarifa zilizotolewa na kocha kwamba hawakuwa tayari kucheza ile mechi less than 30 hrs baada ya tukio na pia hawakushirikishwa kwa lolote.Huyu jamaa sometimes habari zake waga zimejaa unafki tu na hisia binafsi kuliko ukweli, dortmund hawajamtimua kocha wao bali Tuchel ame resign, na pia kwa wachezaji waliokuwa nao msimu huu dortmund hawakuwa wachezaji wa kusema watashindania ligi na bayern, wengi wao wachanga kutoka Academy kwa nia ya kujenga upya timu kitu ambacho uongozi na kocha ndio lilikuwa lengo lao, ila ni mambo mengine tu ndio yamepelekea kocha kuachia ngazi
Nimecheka sana !Huyu jamaa sometimes habari zake waga zimejaa unafki tu na hisia binafsi kuliko ukweli, dortmund hawajamtimua kocha wao bali Tuchel ame resign, na pia kwa wachezaji waliokuwa nao msimu huu dortmund hawakuwa wachezaji wa kusema watashindania ligi na bayern, wengi wao wachanga kutoka Academy kwa nia ya kujenga upya timu kitu ambacho uongozi na kocha ndio lilikuwa lengo lao, ila ni mambo mengine tu ndio yamepelekea kocha kuachia ngazi
Duhhh ata mimi nimecheka sana mkuu..!Nimecheka sana !