C ComputersDAR JF-Expert Member Joined Jan 21, 2013 Posts 213 Reaction score 242 Oct 21, 2022 #1 Habari Wakuu Nimekosea kuagiza MAF sensor ya gari, badala ya kuagiza ya BMW E90, nimeagiza ya BMW E46/E81/E87. Aina ni Bosch0280218075AIR MASS SENSOR-3(E46)1(E81/E87 Bei ni laki 3 ingawa nimelipia $117 halafu jumuisha ushuru kutoka Dubai kupitia Aramex. Kwa anayehitaji, wasiliana 0625536529. Nipo Dar. Karibuni!
Habari Wakuu Nimekosea kuagiza MAF sensor ya gari, badala ya kuagiza ya BMW E90, nimeagiza ya BMW E46/E81/E87. Aina ni Bosch0280218075AIR MASS SENSOR-3(E46)1(E81/E87 Bei ni laki 3 ingawa nimelipia $117 halafu jumuisha ushuru kutoka Dubai kupitia Aramex. Kwa anayehitaji, wasiliana 0625536529. Nipo Dar. Karibuni!